Waendesha mdahalo wakisikiliza hoja.
Na:Amiri kilagalila
Ni moja ya vipindi bora kutoka Starter radio iliyopo MKOA wa Njombe, hii leo kipindi cha unity shool kilizikutanisha shule hizo mbili katika mdahalo uliokuwa na maada nini bora kati ya fedha na elimu? shule zote zimefanikiwa kutetea maada na kujinyakulia alama 16 kila shule.
Wanafunzi wakisikiliza maada.
Licha ya kuwepo uwezo wa kuchanganua hoja kila shule imefanikiwa kuonyesha umahili katika kujieleza kuna kila sababu ya kutoa pongezi kwa walimu wa shule zote mbili kwa kuhakikisha wanafunzi hao wanakuwa na uwezo mkubwa wa kuchanganua maada mbali mbali.
Pongezi pia kwa Radio starter na waongozaji wa kipindi cha unity shool kwa ubunifu waliouonyesha kwa kuwakutanisha wanafunzi mbali mbali kwa pamoja na kuweza kujadili maswala tofauti ya kielimu
Mchuano mkali wa mdahalo kati ya Venite secondary na Agnes trust wazipatia alama 16 shule zote
-
0 comments:
Post a Comment