Julius saligwa diwani wa kata ya Kidegembye
Wito huo umetolewa na JULIUS SALINGWA diwani wa kata ya Kidegembye wakati wa mkutano wa baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Njombe, alipotaka kujua jinsi serikali kupitia wataalamu wake wa afya wanavyoendelea kutoa elimu dhidi ya ugonjwa huo.
Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Njombe
Dokta ERICK MSIGOMBA ni daktari wa magonjwa ya macho kutoka hospitali ya ELEMBULA ametumia nafasi hiyo kutoa elimu ya ugonjwa huo ikiwa moja ya dalili ya ugonjwa huo ni kushikwa na haja ndogo kila wakati.
Katika hatua nyingine MSIGOMBA amesema kuwa kwa sasa huduma hiyo inatolewa katika hospitali mbali mbali ikiwemo hospitali ya Elimbula, hivyo amewataka wananchi kuto kukaa na tatizo kwa kuwa tatizo hilo linatibika.
Aidha mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Njombe VALENTINO HONGOLI ametoa wito kwa madiwani na watendaji na viongozi wote wa serikali kusimamia sheria za ukusanyaji wa mapato ili kutekeleza miradi ya maendeleo iliyokusudiwa kutokana na mapato ya ndani.
Valentino hongoli mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Njombe
Wataalamu wa afya mkoa wa Njombe toeni elimu ya ugonjwa wa tezi dume
-
nakuona Amili nitumie namba yako ya phone.
ReplyDelete