
Christopher olesendeka akichoma zao la bangi
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Christopher Olesendeka ateketeza Bangi zaidi ya Hekari 50 iliyokuwa ikilimwa kwa kilimo cha Umwagiliagi katika mapori yaliyopo kijiji cha Ng'onde kata ya Mlondwe Wilayani Makete.
0 comments:
Post a Comment