internet advertising Video: Walimu Warekodiwa Wakimfanyia Ukatili Wa Kutisha Mwanafunzi | DotFIVE

Video: Walimu Warekodiwa Wakimfanyia Ukatili Wa Kutisha Mwanafunzi


Video hii ambayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii kuanzia leo alfajiri inawaonyesha walimu wakichangia kumpiga mwanafunzi mmoja ndani ya ofisi.

Walimu hawa wanaonekana si tu wanampiga mwanafunzi huyo kwa viboko, bali wengine wanampiga makofi ya uso, huku walimu wengine wakiwasihi wamuache mwanafunzi huyo kwani wanaweza kumuumiza.

Inadawa shule hii ni Mbeya Day, iliyopo jijini Mbeya

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment