Miongoni mwa mastar wa Tanzania wanaofanya Bongo Fleva ambao wana mashabiki wengi wa kike ni pamoja na Jux & Vanessa Mdee inawezekana labda aina ya muziki wanaoufanya kuwagusa wasichana wengi.
Sasa mastaa hao wawili wanazimiliki leoOctober 5, 2016ambapo wameachia single yao mpya iitwayoJuuiliyotayarishwa na producer Lufakatika studio zaSwitcher Records.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment