internet advertising VIDEO: CHEKA KIDOGO: UTANI WA MCHEKESHAJI WA KENYA ERICK OMONDI KWA WANAOTAKA KUWA KAMA MAGUFULI | DotFIVE

VIDEO: CHEKA KIDOGO: UTANI WA MCHEKESHAJI WA KENYA ERICK OMONDI KWA WANAOTAKA KUWA KAMA MAGUFULI

Eric Omondi raia wa Kenya ambaye ni moja kati ya watu waliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo uwezo binafsi wa kuchekesha kupitia maneno na mwili wake pia.
Baada ya kufanya ile ya mambo ya kuzingatia kwa wale wanaotaka kuwa kama Diamond Platnumz, Akothee, leo katusogezea nyingine ambayo inamhusu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli. Eric Omondi katuletea mambo muhimu unapaswa kuyazingatia kama unatamani kuwa kama Rais Magufuli
Unaweza kumtazama Omondi kwenye hii video hapa chini…


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment