february 25 2017 Zaidi ya hekari 50 za shamba la bangi zateketezwa na mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher olesendeka
-
Christopher olesendeka akichoma zao la bangi
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Christopher Olesendeka ateketeza Bangi zaidi ya Hekari 50 iliyokuwa ikilimwa kwa kilimo cha Umwagiliagi katika mapori yaliyopo kijiji cha Ng'onde kata ya Mlondwe Wilayani Makete.
0 comments:
Post a Comment